Swala Ya Ghayb Kwa Ndugu Zetu New-Zealand

  1.  Wanaharakati Hizb ut Tahrir Tanzaniaa pamoja na waumini katika maeneo mbali mbali waliswali swala ya maiti (ghayb) kuwaombea ndugu zetu Waislamu zaidi ya 50 waliouliwa New Zealand wakiwa msikitini.
    Pichani ni msikiti wa Masjid Lulu, Rahma Buguruni, na Masjid Fatih Nyakato Mwanza
    #RajabFarajaKwaWalimwengu

 

2. Bayan Baada Ya Swala Ya Ijumaa – Masjid: Rahma – Buguruni, KwaMadenge

Mzungumzaji: Masoud Msellem

 

3. Bayan Baada Ya Swala Ya Ijumaa – Masjdi Fatih National Nyakato Mwanza.

Mzungumzaji: Shekh Issa Nasibu

 

Kusambaza ni Kuunusuru Uislamu!