Thursday, 27 July 2017 00:00

Mwito kwa Majeshi Katika Miji ya Waislamu

Hivi hakuna miongoni mwetu Mtu Mtambuzi atakaejitokeza na silaha yake kuinusuru Aqsaa, Palestina na Kuikomboa Shaam?

Leo 27/SHAWWAL /1438 Hijria Ni Ijumaa pili ambayo Waislamu hawawezi kuswali Ijumaa katika Msikiti wa Aqswah, na Ikiongezwa na ile Ijumaa ambayo Mayahudi waliichoma Minmbari ya Aqswah katika Mwaka 1389 Hijria, Hakika hiyo inaonyesha tukio la hatari toka pale swalahuddin  alipoikomboa masjidil Aqswah toka kwa majeshi ya msalaba,na akasimamisha ijumaa ya mwanzo baada ya kuitwaharisha qudsi na najsi za majeshi ya msalaba mwaka 533 hijria yaani hizi ni mara tatu ambazo waislam hawawezi kuswali ijumaa toka zaidi ya karne nane zilizopita!!! 

 Na kama hivi kinaonekana kiwango cha chuki ambacho kipo kwa watawala wa mayahudi dhidi ya Uislam na Waislam. Mayahudi hawakuwazuia waislam kuswali peke yake bali wamewapiga risasi wale waliokusanyika kuswali kwenye viwanja vya Aqswah. Wamekuwa kama alivyosema mwenye mungu mtukufu:

 ﴿لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا﴾...

 Hakika utawakuta walio maadui zaidi kuliko watu wengine kwa waumini Ni  Mayahudi na wale Mushirikina  (TMQ 5 : 82)

 Na kwa upande mwingine unamkuta Rais wa Misri anawasiliana na Netanyahu na kama hivi anafanya Mfalme wa Jordan kisha Rais wa Uturuki wakiomba Utulivu, na Mfalme wa Saudia anatoa tamko la kusikitika kwa yale yanayotokea katika viwanja vya Aqswah… na huku hali yao ikionyesha wanautaraji utawala wa Mayahudi uwaruhusu waislam waswali katika Aqswah, na wapunguze Milango mingi ya Umeme pasina kuzuia ukaguzi na Ulinzi! Na kama hivi ndivyo wafanyavyo watawala katika miji mingine ya Waislam kwa sauti ya masikitiko au kuwa sauti ya chini kwa chini kana kwamba hayo wanayoyazungumza hayawahusu hata kidogo,pasina kumuonea haya Mwenyezi Mungu na wala Mtume wake na wala waumini,na amesema Kweli Mtume ( S.a.w ): -

 «إنَّ مِمَّا أَدْرَكَ النَّاسُ مِنْ كَلَامِ النُّبُوَّةِ الْأُولَى: إذَا لَمْ تَسْتَحِ فَاصْنَعْ مَا شِئْت». أخرجه البخاري عن عبد الله بن مسعود

  Hakika katika yale walioyatambua watu katika maneno ya Manabii wa Mwanzo : Pindi utakapokuwa huna haya basi fanya utakacho  (Bukhari toka kwa Abdallah Bin Masoud)

 Hakika tatizo la Aqswah haliwezi kutatuliwa pamoja na kubakia utawala wa Mayahudi waporaji wa Palestina,Aqswah haiwezi liwepo pamoja na kubakia Utawala huu, Ndio uruhusu kuswali katika Aqswah chini ya Ulinzi wa Mayahudi na kwa Maamrisho yao na kwa ruhusa yao,amesema waziri  wao wa mambo ya Ndani “Aqswah Ipo chini ya Israel na  yeye ndio mwenye neno  la mwanzo na la mwisho katika kuufunga na kuufungua Msikiti”

 Kama wanajigamba wale ambao wamepigwa juu yao Udhalili na Umasikini kwa sababu ya Uduni wa watawala wa Miji ya Waislam…Ulikuwa mwanzo wa Uovu siku ambayo walikubaliana watawala hawa pamoja na wale ambao katika nyoyo zao zina maradhi miongoni mwa Mfano wa Watawala katika Utawala wa Palestina kuwa ni kadhia ya Watu wao, kisha wakageuka watawala hawa wanamuweka Mtu juu ya Mtu mwingine wakiangalia matukio kwa kiasi Fulani cha Masitiko au chini ya hapo ! Na mfano wa hao ni wale ambao wanafanya Mawasiliano na watawala wa Mayahudi wakiwaomba wapunguze Mateso makubwa kwa harakati za watu wa Palestina ! kama hivi ndivyo ambavyo wamekuwa watawala wanainusu Palestina kwa kuipoteza Palestina kama Yule Mwanamke ambaye aliyeukata uzi wake vipande vipande baada ya Kuusokota kuwa Mgumu au pasina kuwa mgumu bali ni vipande vipande peke yake , ﴿قَاتَلَهُمُ اللَّهُ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ﴾ Mwenyezi Mungu awaangamizie Mbali ,Vipi wanapotoka na haki ! TMQ 63 : 4)

 … Hakika watawala wa ovyo katika miji ya Waislam wanajua fika kuwa harakati za Wapelestina haziwezi kuuondoa utawala wa Mayahudi na vile vile wanatambua kuwa tatizo lote la Aqswah na Palestina haliwezi kupata ufumbuzi muwafaka isipouwa kwa kuuondoa utawala Uliofutiliwa mbali wa kiyahudi, na kuuondoa kwake hakuwezi kuwa isipokuwa kwa kupeleka Majeshi yatakayopambana kwa silaha ili kuuondoa utawala huo…. Kama hivi ndivyo ambavyo inanusuriwa ardhi yenya Baraka, Kama hivi ndivyo ambavyo inanusuriwa Baitil Maqdisi, Kama hivi ndivyo ambavyo inanusuriwa Aqswah Qibla cha kwanza cha Waislam na Msikiti wa watu wa kukithirisha Ziara baada ya Msikiti wa Makkah na Madina…. Kama hivi ndivyo ambavyo inanusuriwa Kuikomboa katika ardhi yenye Baraka  Palestina.

 Hivi hatokei katika Majeshi ya Waislam Mtu Mtambuzi atakaenyanyua silaha yake pamoja na ndugu zake huku wakileta Takbirah wakanusuru japo kina mama wa Aqswah ambao wanafanyiwa uadui na waovu katika viwanja vya Aqswah na viunga vyake ?... Hivi hatokei katika Majeshi ya Waislam Mtu Mtambuzi ambaye Damu zinamchemka katika mishipa yake akaongoza kikosi chake kuelekea Aqswah na awakanyage katika njia yake wale watawala waovu ambao wapo njiani kwake? … Hivi hatokei katika Majeshi ya Waislam Mtu Mtambuzi ambaye atafuata Mwenendo wa wale wenye kumnusuru Mwenyezi Mungu na Mtume wake basi akawanusuru wabebaji da’wah wakweli, aipe Nusra Hizb ut tahrir na awaondoe hawa waovu na aisimamisha Hukmu ya Uislam,Dola ya Kiislaam,Khilafah Raashidah,aongoze Jeshi la Khilafah ili kuondoa Utawala huo Muovu na kuhakika Bishara ya Mtume ( S.a.w ) ? …Amepokea Muslim katika sahihi yake,toka kwa Abu Hurairah,kwamba Mtume ( S.a.w ) amesema :

عن أبي هريرة: أن رسول الله ﷺ قال: «لَا تَقُومُ السَّاعَةُ حَتَّى يُقَاتِلَ الْمُسْلِمُونَ الْيَهُودَ، فَيَقْتُلُهُمُ الْمُسْلِمُونَ...»،

وفي لفظ آخر قال ﷺ: «تُقَاتِلُكُمُ يَهُودُ، فَتُسَلَّطُونَ عَلَيْهِمْ»

Hakitasimama Kiama mpaka Waislamu wapigane na Mayahudi,na Waislam watawashinda Mayahudi” na katika tamko linguine “Watapigana nanyi Mayahudi ,Basi mtakuwa juu yao (Mtawashinda ).

 Enyi Waislam :

Hakika Majeshi ya Waislam wao ni katika nyinyi,ni watoto wenu,ndugu zenu na Jamaa zenu,Wahamizeni watekeleze haki ambayo Allah ameitelemsha ,waangazieni njia ya Uislam kwa nuru ya Uislam ili wainusuru dini ya Allah na warejeshe mwenendo wa wanajeshi wa Kiislam ambao waliwang’oa watu wa Msalaba katika ardhi ya Palestina na ardhi ya Sham,na wakawaondoa utawala wa Tatar katika Ardhi za Uislam… basi wakawa Vinara wa Dunia kwa sababu ya kheri wanayoieneza na kwa Uadilifu ambao wameusimamisha,hakika kwa majeshi wa Waislam hayana nafasi isipokuwa warudi kuwa kama wale wanajeshi watukufu na wainusuru dini ya Allah na waende wakainusu Aqswah na viunga vyake, na wawakanyage watawala waovu kwa kuwaondoa katika njia yao , na Allah atawataja katika sahifa za Nuru na wataupata Utukufu wa Dunia na Akhera ,

﴿إِنَّ الْمُتَّقِينَ فِي جَنَّاتٍ وَنَهَرٍ * فِي مَقْعَدِ صِدْقٍ عِندَ مَلِيكٍ مُّقْتَدِرٍ

Na bila shaka Wamchao Mwenyezi Mungu watakuwa katika Mabustani na Mito ,katika Makao  Mazuri katika (Pepo ) ya ( Mwenyezi Mungu ) Mfalme Mwenye Uweza ( wa kila kitu )  (TMQ 54:54-55)

 Enyi  Majeshi katika Miji ya Waislam !

Hakika Aqswah  na viunga vyake inaomba msaada wa kuokolewa,na Aqswah haitakombolewa mpaka kuuondosha utawala wa Mayahudi,na harakati za watu wa Palestina pamoja na Ushujaa wao na utukufu wao hazitaweza kuuondoa utawala wa Mayahudi,ijapokuwa wanatekeleza wajibu wao kwa kiasi wawezavyo,lakini wao watakuja kupata Nusra,basi wanasuruni na wao wanataka msada wenu basi wasaidieni na itikieni Kauli ya Mwenyezi Mungu Mtukufu Mwenye Hekima :

﴿وَإِنِ اسْتَنصَرُوكُمْ فِي الدِّينِ فَعَلَيْكُمُ النَّصْرُ...

(“ Na wakikuombeni Msada katika Dini ,basi ni juu yenu Kuwasaidia” TMQ 8:72)

Enyi Majaeshi katika Miji ya Waislam,Enyi Waislam ! Hakika sisi Tunamatumaini kwamba tunaweza kuuondoa utawala wa Mayahudi,basi kuweni nyinyi ndio Jeshi ndio Jeshi hilo ambalo litaaung’oa utawala huo , na hilo ndio Jeshi Bora kabisa,na tuna matumaini  makubwa kwamba Khilafah inarudi kwa Idhini ya Allah baada ya tawala hizi za Kidhalimu,Amesema Mtume ( S.a.w ) : ……

قال النبي ﷺ: «ثُمَّ تَكُونُ مُلْكًا جَبْرِيَّةً، فَتَكُونُ مَا شَاءَ اللَّهُ أَنْ تَكُونَ، ثُمَّ يَرْفَعُهَا إِذَا شَاءَ أَنْ يَرْفَعَهَا، ثُمَّ تَكُونُ خِلاَفَةٌ عَلَى مِنْهَاجِ النُّبُوَّةٍ ثُمَّ سَكَتَ». رواه الإمام أحمد عن حذيفة بن اليمان.

”…..Kisha utakuja Utawala Muovu,utakuwa kwa muda autakao Mwenyezi Mungu,Kisha atauondoa Pindi akitaka kuuondoa,kasha itakuja khilafah kwa Njia ya Mtume,kasha akanyamaza” Kaipokea Imam Ahmad toka kwa Hudheifah Bin Al-yamaan.

….. Kuweni ndio hilo jeshi ambalo litainusuru Hizb ut tahrir ambayo ndio inafanya kazi ya kuirejesha Khilafah… na hilo ndio Jeshi Bora.

Na sisi tuna matumaini Makubwa kuwa Shamu na Qudsi itarejeshwa na Jeshi la kiislaam katika Daarul-Islaam,amepokea Imam Ahmad katika Musnadi wake hadithi toka salamah bin Nufail ( R ) kwamba Mtume ( S.a.w ) amesema :

روى الإمام أحمد في مسنده مِن حَدِيثِ سَلَمَةَ بْنِ نُفَيْلٍ رضي اللهُ عنه: أَنَّ النَّبِيَّ ﷺ قَالَ:

 «أَلَا إِنَّ عُقْرَ دَارِ الْمُؤْمِنِينَ الشَّامُ»

 “ Fahamuni kuwa hakika Asili  na Hifadhi ya Mji wa Waumini ni Sham,na katika Mapokezi mengine “ Asili na hifadhi ya uislam ni Sham

Itarudi sham na Qudsi kwa idhini ya Allah na itang’ara kwa utukufu na kumakinika basi kuweni ndio hilo jeshi ambalo litairejesha na hilo ndio jeshi bora.

Enyi Majeshi ya Waislamu, Na Watu wa Majeshi ya Waislamu, Njooni muinusuru Dini ya Allah... Njooni Muinusuru Baitil Maqdas na Viunga vyake... Njooni muikomboe ardhi yenye Baraka... Njooni muuondoe Utawala wa Mayahudi... Njooni muinusuru Walimwengu kwa kusimamisha Khilafah Raashidah... Njooni Muirejeshe Sham na Eneo Lake La Qudsi ili iwe Daarul - Islaam... Njooni kwenye utukufu wa Dunia na Akhera... Na hili Wallah ni Bora kabisa kuliko vile wanavyovikusanya... 

Amesema Mwenyezi Mungu Mwenye nguvu na hekma :

﴿يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اسْتَجِيبُوا لِلَّهِ وَلِلرَّسُولِ إِذَا دَعَاكُمْ لِمَا يُحْيِيكُمْ وَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّهَ يَحُولُ بَيْنَ الْمَرْءِ وَقَلْبِهِ وَأَنَّهُ إِلَيْهِ تُحْشَرُونَ

Enyi Mlioamini, Muitikieni Mwenyezi Mungu na Mtume wake anapokuiteni katika yale yatakayekupeni uhai mzuri, na jueni ya Kuwa Mwenyezi Mungu huingia kati ya Mtu na Moyo wake na jueni kwake yeye mtakusanywa (Mlipwe kwa kila mlilolifanya) 

(TMQ 8:24)

Hizb ut Tahrir 

27 /Shawwal /1438 Hijria, Sawa na 21/07/2017                                     

=====

Amir wa Hizb ut-Tahrir 

Atwaa Bin Khalil Abu Rashta

Read 863 times
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…