Ameer: Q & A

Ameer: Q & A (21)

Thursday, 23 February 2017 00:00

Jibu La Amiri - Swali Kuhusu Uchaguzi

Swali: Kwa kupitia utafiti juu ya uharamu wa muislamu kushiriki katika mifumo ya utawala iliyopo hivi sasa ambayo haihukumu kwa Uislamu, amesema mtu mmoja kwamba yeye kamsikia mmoja wa masheikh akiruhusu kushiriki kwa kutumia dalili kwamba,

Katika kukujibu swali lako kuna mabo matatu yapasa kwanza yawe wazi:

Kusoma Qur’an kwa kinywa (kukariri) sio kutoka katika mashaf, kuugusa mashaf na Kusoma Qur’an kutoka katika Mashaf, na kubeba simu au laptop ambayo ina mambo ya Qur’an na hata kusoma kutoka humo.

Kwa akina kaka na akina dada zetu waliotuma masuala kuhusu hatua ya taasisi ya ISIS kutangaza  kuasisiwa kwa dola ya Khilafah. Mtaniwia radhi sana kwa kutotaja majina yenu, kwa kuwa orodha  ya majina yenu ni ndefu. …

Page 2 of 2
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…