Saturday, 24 June 2017 00:00

Swala ya Eid el Fitr

Rate this item
(0 votes)

 

 

 

Hizb ut-Tahrir_Tanzania Inafuraha Kuwatangazia Waislamu jijini Dar es Salaam kujumuika pamoja katika swala ya Eid ul Fitr itakayoswaliwa katika Viwanja Vya Sabasaba, Temeke, Dar es_Salaam.

Siku: Jumapili au Jumatatu (Kutegemea mwandamo wa mwezi)

Muda: Saa 1:30 asubuhi

Tuungane pamoja katika kuadhimisha siku tukufu

 

Read 308 times
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…