Wednesday, 17 May 2017 00:00

Kongamano maalum la kukaribisha ramadhani

Hizb ut Tahrir Tanzania imetayarisha  KONGAMANO MAALUM la aina yake la Kukaribisha Mwezi mtukufu wa RAMADHANI mnamo siku ya Jumamosi tarehe 20 Mei 2017 /sawa na  23 Sha’aban 1438 Hijri.

KONGAMANO hilo litafanyika Hoteli ya Mayfair Plaza, Mikocheni( Banquet Hall) kuanzia saa 3.00 asubuhi  mpaka 6.00 mchana.

Licha ya kuwa KONGAMANO hilo kubeba idadi maalumu ya waalikwa, bado tunapenda kuwakumbusha Waislamu na wasiokuwa Waislamu walifuatilie KONGAMANO hilo litarushwa "live" kupitia facebook "hizb ut Tahrir Tanzania (http://www.facebook.com/HtTanzaniaa) na tovuti yetu ya "www.hizb.or.tz"

Mada zitakazowasilishwa:

  • Uislamu mfumo wa Ukombozi kwa Wanadamu
  • Failure of Capitalism- (Mhadhiri kutoka Holland)
  • Uislamu na Njia ya Mabadiliko

                                     

Masoud Msellem

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi  

Hizb ut-Tahrir Tanzania

Read 349 times
Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…