Saturday, 18 March 2017 00:00

Khilafah ndio mkombozi wa Wanawake- No.3

Written by 
Rate this item
(0 votes)

Kwa nini ubepari  Umeshindwa Kumuinua Mwanamke?

 • Mfumo umejengeka na aqeeda dhaifu. Aqeedah yake mbovu ya kutenganisha dini na siasa. Aqeedah hi imeshindwa kumwongoza mwanadamu kwenye maisha yake. Kwani kila siku zinavyoendelea imekuwa inaongeza matatizo badala ya kuyatatua.
 • Kipimo chake cha matendo ndani ya mfumo huu ni maslahi. Baadhi ya matatizo yanayowakumba wanawake huonekana kiwazi lakini huwa hayatakiwi kwa kuwa hakuna maslahi yoyote kwa mabepari kama yakitatuliwa basi huyaacha yaendelee ilimradi hayaathiri maslahi yao na wao wanaendelea kunufaika na hali ilivyo. Mfano, hakuna asiyetambua kuwa vipodozi vingi vina madhara kwenye ngozi za wanawake lakini mabepari wanaacha viendelee kuuzwa kwa kuwa vinaongezea serikali mapato kupitia kodi wanazolipa. Kipimo cha maslahi huwa hakina uwezo wa kutatua matatizo ya mwanadamu. Pia hata madanguro nayo hulipa kodi kwa serikali kutokana na mapato yanayoingizwa kutokana na viingilio na gharama za kupata huduma ya kuzini na wanawake  wanaotumika kuzini na wateja kwa ajili ya kuingizia mapato. Pia kumbi za burudani nazo hutumia wanawake kwa ajili ya kuvuta wateja ili kukuza mapato ya kumbi zao kwani wanawake hutumikishwa kwenye kucheza uchi ili kuwatamanisha wanaume kuja mara kwa mara katika kumbi hizo.
 • Ni nidhamu iliyotungwa na mwanadamu. Kwa kawaida akili ya mwanadamu huwa ina mapungufu yake na hivyo ndivyo ilivyoumbwa. Kwa kuwa mwanadamu huyo huyo ameumbwa na matamanio ya nafsi humwelekeza mwanadamu kufanya matendo kwa kipimo cha maslahi na hapo hupoteza ubinadamu wake na kuwa kama mnyama ilimradi atimize maslahi yake tu. Ndio maana tunaona watu wanaoshika madaraka ndani ya mfumo huu wakati mwengine hutoa maamuzi ya kinyama ya kuwa tayari hata  kuuwa watu wasio na hatia kama wanawake kwa nia  tu ya kutimiza au kulinda maslahi yake.

Kihistoria Khilafah na Mwanamke

Mtume Muhammad (SAAW) ndio kiigizo chema na ndio mtu aliyeasisi dola ya kwanza ya Kiislamu ndani ya mji wa Madini. Aliwashirikisha kikamilifu wanawake katika nafasi mbali mbali za shughuli za kiutendaji zisizokuwa za kiutawala. Kipindi chote cha kudumu dola ya Kiislamu kihistoria haijawahi kuwepo harakati ya kudai au kutetea haki za wanawake. Kwani Uislamu ni dini ambayo inampa kila  Muislamu haki zake awe mwanamke au mwanamume na wala si kumpokonya. Khilafah iliweza kudumu kwa karne zaidi ya kumi na hatimaye kuanguka mnamo mwaka 1924. Khilafah iliwapa kila kundi jamii haki yake na wala haikuwadhulumu na ndio maana iliweza kudumu kwa kipindi kirefu kutokana na msingi wake imara. Na kwa msingi huo Khilafah iliweza kufikia mafanikio kadhaa yakiwemo:

 Iliwakomboa wanawake wengi toka kwenye utumwa wale waliokuwa wakiwekwa na kuingizwa  kwenye utumwa. Pindi walipokuwa wanakutana na Waislamu  waliwakombowa. Baadhi ya wale waliokuwa wamekombolewa waliinuliwa juu na kuwa kwenye hadhi za juu kwenye jamii na hata baadhi walikuwa wanaonekana juu ya ikulu. Hata baadhi yao waliweza kuolewa na watu wa hadhi ya juu kwenye dola mfano Hareen Sultan aliweza kuolewa ndoa ya kihalali na Sultan Suleyman aliyetawala  1520-1566. Hareen alikuwa mtumwa wa kirusi kipindi cha nyuma.

Iliwapa fursa wanawake ya kuolewa. Ilikuwa ni ngumu sana kumkuta mwanamke ndani ya Khilafah akiwa hajaolewa. Wazazi walipewa fursa ya kuwaandalia ndoa kwa ajili ya watoto wao. Mahari mara nyingi ilikuwa inapangwa na binti mwenyewe. Pia wajane nao walikuwa wananusuriwa na wanaume wengine.

 Iliwapa wanawake fursa ya ajira. Wanawake hawakuwa tu wanashinda ndani ya nyumba  ila pia walipewa fursa ya kutafuta ajira. Wanawake watu wazima pekee ndiyo waliruhusiwa kutafuta ajira. Ikiwa kama walikuwa wana mtaji kutosha basi walianza kwa biashara ndogo ndogo. Jambo ambalo lilikuwa si rahisi kwa wanawake walioko Ulaya. Wanawake ndani ya Khilafah walistawi kibiashara ilimradi hawakutakiwa kukiuka maadili ya Kiislamu.

Iliwapa fursa ya kuweza kupata elimu. Elimu ilipewa kipaumbele sana  kwa kuwa ni jambo la faradhi. Hata wapo wanazuoni waliokuwa wanawake mfano mzuri mpokeaji mkubwa wa hadithi za Mtume Muhammad (SAAW) alikuwa ni bi Aisha(ra). Ingawa wanawake huwa wanaruhusiwa kuwa hata makadhi.

 Iliwapa fursa ya kumiliki mali. Wanawake waliweza kumiliki mali na kuzitumia katika kujiendeleza ilimradi wasikiuke sheria ya Kiislamu. Mfano katika karne ya 16 imerekodiwa kuwa inakisiwa ndani ya Istanbul asilimia 37 ya majengo yalikuwa yanamilikiwa na wanawake.

Iliwapa fursa ya ushiriki katika siasa na sauti yao kusikika. Kihistoria tuliona jinsi namna ambavyo Khilafah ilivyowainua wanawake kwenye siasa na namna ambavyo sauti yao zilisikika na kutendewa kazi. Wanawake hawakuwa nyuma kwenye michakato ya kisiasa na wao walishiriki ipasavyo. Mfano mzuri ni mke wake Salahuddin, shajar al derr. Pia ni namna Umar ibn Khattab alivyompatia Shifa bint Abdalah kutokana na uwerevu wake na alitumiwa kwenye kazi za kiutendaji za  serikali hususan kwenye masuala ya kibiashara.

Iliwapa fusa ya kutumia elimu zao kwa ajili ya maendeleo ya jamii. Tuliona ndani ya khilafah jinsi ilivyoweza kutumia vizuri vipawa vya elimu walivyokuwa nazo wanawake kwa maendeleo ya jamii nzima. Mfano mzuri ni namna bi aisha(ra) na Fatima(ra) walivyokuwa ni walimu wazuri wa hadithi nyingi zza mtume(saw) na walifanikiwa kuwafundisha masahaba wengi. Mfano mwingine ni bi Nana ambaye alikuwa ni mke wa mtawala ambaye alikuwa ana uelewa wa juu wa lugha ya kiarabu, fulfida na kihausa. Alianzisha kikundi cha walimu wa kikeambao walizunguka kwenye ukanda mzima kuelimisha wanawake waliokuwa ni masikini na waliokuwa wanaishi maeneo ya ndani ya jiji.

 Iliwapa fursa ya kutumia mali zao kwa ajili ya maendeleo ya Umma. Khilafah iliwajaalia wanawake wenye uwezo fursa ya kuchangia maendeleo ya jamii, bila ya mchango wao kutumiwa vibaya kama jinsi namna serikali za kibepari zinavyofanya. Mfano, Wanawake ndani ya Utawala wa Salahu din bin Ayyub walijenga shule, hospitali kwa ajili ya Umma.

  Iliapa fursa ya kuanzisha na kuendeleza viwanda na biashara. Khilafah iliwapa wanawake  fursa ya kujiendeleza kiuchumi kwa kuanzisha na kujenga viwanda na biashara ndani ya Khilafah. Mfano mzuri, bi Asma alikuwa mkulima mzuri. Bi Khawlah, Maleekah walikuwa ni wafanyabiashara wa manukato yaliyokuwa yanafahamika kama “itar”

Kwa mafanikio hayo ambayo Khilafah iliyapata nyuma tunategemea kuwa huko mbele Khilafaha itasaidia kuwainua zaidi wanawake kutoka kuwa viumbe duni walivyofanywa na ubepari na kurejeshjewa thamani yao ya asili ya kutegemewa kama walezi wa jamii mpya itakayokuwa inaongozwa na mtawala mwadilifu ambaye ni Khalifa muongofu. Tunatarajia chibi ya wanawake wa Kiislamu kuwa na jamii ambayo itakuwa na ustawi wa hali ya juu katika ulimwengu wa baadaye Inshaa Allah.

Itaendelea....

Read 513 times Last modified on Saturday, 18 March 2017 06:02

27 comments

 • Comment Link Benny Saturday, 22 July 2017 19:49 posted by Benny

  Hey are using Wordpress for your site platform?
  I'm new to the blog world but I'm trying to get started and set
  up my own. Do you require any html coding expertise to make
  your own blog? Any help would be really appreciated!

 • Comment Link Elke Saturday, 22 July 2017 19:43 posted by Elke

  Good site you have here.. It's difficult to find good quality writing like yours these days.
  I honestly appreciate people like you! Take care!!

 • Comment Link Linette Saturday, 22 July 2017 05:16 posted by Linette

  I know this if off topic but I'm looking into starting my
  own weblog and was wondering what all is needed to get setup?
  I'm assuming having a blog like yours would cost a pretty penny?
  I'm not very web smart so I'm not 100% certain. Any recommendations or advice
  would be greatly appreciated. Cheers

 • Comment Link Letha Friday, 21 July 2017 22:15 posted by Letha

  I don't know if it's just me or if everyone else
  encountering problems with your blog. It looks like some of the text within your posts
  are running off the screen. Can somebody else please comment
  and let me know if this is happening to them too? This could be a issue with my internet browser because I've had this happen previously.
  Thanks

 • Comment Link Roslyn Friday, 21 July 2017 15:13 posted by Roslyn

  Fantastic goods from you, man. I've understand your stuff previous to and
  you are just extremely wonderful. I really like what you have acquired here,
  certainly like what you're stating and the way in which you
  say it. You make it enjoyable and you still care for to
  keep it wise. I can not wait to read far more from you.

  This is actually a wonderful site.

 • Comment Link Katharina Friday, 21 July 2017 14:13 posted by Katharina

  These are genuinely wonderful ideas in on the topic of blogging.
  You have touched some good points here. Any way keep up wrinting.

 • Comment Link Marita Thursday, 20 July 2017 23:18 posted by Marita

  My relatives every time say that I am wasting my time here at web, except I
  know I am getting familiarity every day by reading thes
  nice articles or reviews.

 • Comment Link Adelaide Thursday, 20 July 2017 16:29 posted by Adelaide

  Hi, I think your blog might be having browser compatibility issues.
  When I look at your website in Firefox, it looks fine but when opening in Internet Explorer, it has some overlapping.

  I just wanted to give you a quick heads up! Other then that, great blog!

 • Comment Link Lucille Thursday, 20 July 2017 15:46 posted by Lucille

  An impressive share! I've just forwarded this onto a
  friend who has been conducting a little research on this. And he actually bought me lunch simply because I stumbled upon it for him...
  lol. So let me reword this.... Thank YOU for the meal!!
  But yeah, thanx for spending some time to talk about this topic
  here on your internet site.

 • Comment Link Tomoko Thursday, 20 July 2017 13:11 posted by Tomoko

  Today, I went to the beach with my children. I found a sea shell and gave
  it to my 4 year old daughter and said "You can hear the ocean if you put this to your ear." She put
  the shell to her ear and screamed. There was a hermit crab inside and it pinched her ear.
  She never wants to go back! LoL I know this is completely off topic but I had to tell someone!

Leave a comment

Make sure you enter the (*) required information where indicated. HTML code is not allowed.

Top
We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…