Fadhila Za Mwezi Wa Muharram, Siku Ya ‘Aashuraa Na Bid’ah Zake Nasiha Written by Super User

79

AlhamduliLLaah, Tunamshukuru Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) Kutufikisha tena katika mwaka mwengine mpya wa Kiislamu. Katika mwezi wa Muharram, kuna fadhila zake maalumu juu ya kwamba ni sawa na miezi mitukufu mingineyo.

Fadhila nyingi Muislamu anaweza kuzipata atakapotekeleza maamrisho ili aweze kujichumia thawabu nyingi. Mojawapo ni funga ya tarehe 9 na 10 Muharram zinazojulikana kamaTaasu’aa na ‘Aashuraa. Hivyo ndugu Waislamu tusiache kufunga siku hizi mbili kwani thawabu zake ni kama ilivyotajwa katika mapokezi yafuatayo:

قال النبي صلى الله عليه وسلم : (( صيام يوم عاشوراء ، إني أحتسب على الله أن يكفر السنة التي قبله)) رواه مسلم

Kasema Mtume (Swalla Allahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam): ((Funga ya siku ya ‘Aashuraa, nataraji kutoka kwa Allaah Ayafute madhambi ya mwaka uliotangulia)) [Muslim]

(soma maelezo chini kujua kwanini tufunge pia na tarehe 9 Muharram)

Jumla ya miezi mitukufu ni minne na mwezi huu wa Muharram ndio mwezi wa kwanza unaoanza kuhesabika kama ni mwaka mpya.

((إِنَّ عِدَّةَ الشُّهُورِ عِندَ اللّهِ اثْنَا عَشَرَ شَهْرًا فِي كِتَابِ اللّهِ يَوْمَ خَلَقالسَّمَاوَات وَالأَرْضَ مِنْهَا أَرْبَعَةٌ حُرُمٌ ذَلِكَ الدِّينُ الْقَيِّمُ فَلاَ تَظْلِمُواْ فِيهِنَّ أَنفُسَكُمْ))

((Idadi ya miezi (ya mwaka mmoja) mbele ya Allaah ni miezi kumi na mbili katika ilimu ya Allaah (Mwenyewe tangu) siku Alipoumba mbingu na ardhi. Katika hiyo imo minne iliyo mitukufu kabisa (nayo ni Rajab, Dhul-Qa’adah, Dhul-Hijjah na Muharram) (kufanya) hivi ndiyo dini iliyo sawa. Basi msijidhulumu nafsi zenu (kwa kufanya maasi) katika (miezi) hiyo)) [At-Tawbah 9:36]

Na Mtume (Swalla Allahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema katika Hadiyth iliyotoka kwa Abu Bakr (Radhiya Allaahu ‘anhu):

(السنة اثنا عشر شهرا، منها أربعة حرم: ثلاث متواليات، ذو القعدة، وذو الحجة، والمحرم، ورجب مضر الذي بين جمادى وشعبان)) رواه البخاري، ومسلم

((Mwaka una miezi kumi na mbili, minne miongoni ya hiyo ni mitukufu, mitatu inafuatana pamoja; Dhul-Qa’adah, Dhul-Hijjah na Muharram na Rajab ambao uko baina ya (mwezi wa) Jumaada na Sha’abaan))[Al-Bukhaariy na Muslim]

Ni neema kutoka kwa Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) Kutujuaalia kuwa na miezi iliyo bora kuliko miezi mingine au masiku bora au masaa bora kuliko mengine, ambazo thawabu za mema yanayotendeka humo huwa ni zaidi ya nyakati nyingine.

Kuhesabika Kwa Mwaka Mpya Wa Hijriyah

Miaka yetu ya Kiislam imeanza kuhesabika baada ya kuhama (Hijrah) kwa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Maswahaba kutoka Makkah kuhamia Madiynah. Baada ya kuhama, ‘Umar (Radhiya Allaahu ‘anhu) akatoa shauri kuwa kwa vile ni mara ya mwanzo wanahamia katika mji ambao wataanza kutumia Sharia’h ya Kiislam, basi ni bora kuanza kuhesabu miaka kwa kuanzia mwezi huo waliohama, nao ni mwezi uliojulikana kamaMuharram. Na pia inasemekana kuwa ‘Umar (Radhiya Allaahu ‘anhu) alikuwa akipata barua kutoka kwa mabalozi wake wa nchi mbalimbali zilizokuwa chini ya Uislam, na zilikuwa zikiandikwa majina ya miezi bila tarehe. Akawashauri Maswahaba wenzake kuwa kuwe na tarehe. Wako waliopendekeza tarehe zianze kwa kufuata miaka ya kirumi, na wako waliopendekeza zianze kwa miaka ya kifursi. Mwishowe wakakubaliana ianze pale alipohamia Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) Madiynah.

Na mwaka huu wa Kiislam ambao unafupishwakama A.H au H kwa kirefu yenye maana ‘After Hijrah’ Hijriyah, tarehe 1 Muharram A.H ilikuwa ni sawa na tarehe 16 Julai 622M. Na ndivyo hivi inavyohesabika mpaka mwezi wa Dhul-Hijjah unapomalizika na mwezi wa Muharram utakapoingia hivi karibuni

Fadhila Za Mwezi Huu Khaswa

Ingawa miezi minne yote iliyotajwa katika Aayah ya juu ni mitukufu lakini mwezi huu wa Muharram umefadhilishwa zaidi ya miezi mingine kama ilivyo katika Hadiyth zifuatazo:

عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ ((أَفْضَلُ الصِّيَامِ بَعْدَ رَمَضَانَ شَهْرُ اللَّهِ الْمُحَرَّمُ )) رواهمسلم

Imepokelewa na Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ‘anhu) kasema; Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Funga bora kabisa baada ya Ramadhaan ni funga ya mwezi wa Allaah wa Muharram)) [Muslim]

عَنْ ابْنِ عَبَّاسٍ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمَا قَالَ : “مَا رَأَيْتُ النَّبِيَّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ يَتَحَرَّى صِيَامَ يَوْمٍ فَضَّلَهُ عَلَى غَيْرِهِ إِلّا هَذَا الْيَوْمَ يَوْمَ عَاشُورَاءَ وَهَذَا الشَّهْرَ يَعْنِي شَهْرَ رَمَضَنِان ” رواه البخاري

Imepokelewa na Ibn ‘Abbaas (Radhiya Allaahu ‘anhuma) ambaye amesema: “Sijapata kumuona Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) akisubiri kufunga siku yoyote kama siku hii ya siku ya ‘Aashuraa na mwezi huu yaani mwezi wa Ramadhaan” [Al-Bukhaariy]

Swawm ya ‘Ashuraa imependezeshwa hata kwa watoto kuifunga kama walivyokuwa wakifanya Maswahaba katika siku hiyo.

عن الرُّبيّع بنت معوذ رضي الله عنها قالت: “أرسل رسول الله صلى الله عليه وسلم غداة عاشوراء إلى قرى الأنصار “من أصبح مفطرا فليتم بقية يومه ومن أصبح صائما فليصم” ، قالت : فكنا نصومه بعد ونصوّمه صبياننا … رواه البخاري ومسلم

Kutoka kwa Ar-Rubay’i bint Mu’awwadh (Radhiya Allaahu ‘anhaa) amesema: “Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alituma ujumbe Alfajiri ya siku ya ‘Ashuraa katika vijiji vya Answaar”Aliyeamka akiwa amefuturu amalize siku yake (kwa kutokula) na aliyeamka amefunga afunge” Akasema (Ar-Rubay’i: ‘Tulikuwa tukifunga baada yake na tukiwafungisha watoto wetu…’ [Al-Bukhaariy na Muslim]

Sababu Ya Kufunga Siku Ya ‘Aashuraa

عَنْ ابْنِ عَبَّاسٍ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمَا قَالَ: ” قَدِمَ النَّبِيُّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ الْمَدِينَةَ فَرَأَى الْيَهُودَ تَصُومُ يَوْمَ عَاشُورَاءَ فَقَالَ: ((مَا هَذَا)) قَالُوا هَذَا يَوْمٌ صَالِحٌ هَذَا يَوْمٌ نَجَّى اللَّهُ بَنِي إِسْرَائِيلَ مِنْ عَدُوِّهِمْ فَصَامَهُ مُوسَى، قَالَ: (( فَأَنَا أَحَقُّ بِمُوسَى مِنْكُمْ)) فَصَامَهُ وَأَمَرَ بِصِيَامِهِ” رواه البخاري

Imepokelewa na Ibn ‘Abbaas (Radhiya Allaahu ‘anhuma) kasema “Alielekea Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) Madiynah akawaona Mayahudi wanafunga siku ya ‘Aashuraa, akasema: ((Nini hii?)) (yaani kwa nini mnafunga?) Wakasema hii ni siku njema, hii ni siku Allaah Aliyowaokoa Wana wa Israili kutokana na adui wao, na Muusa alifunga siku hii. Akasema (Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam): ((Mimi nina haki zaidi juu ya Muusa kuliko nyinyi)). Akafunga siku hiyo na akaamrisha ifungwe” [Al-Bukhaariy]

Lakini Mtume wetu (Swalla Allahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) ametufundisha kuwa tukhitilafiane na Mayahudi kufunga siku hiyo kwa kuongeza siku moja kabla.

روى عَبْدَ اللَّهِ بْنَ عَبَّاسٍ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمَا قال : “حِينَ صَامَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ يَوْمَ عَاشُورَاءَ وَأَمَرَ بِصِيَامِهِ قَالُوا يَارَسُولَ اللَّهِ إِنَّهُ يَوْمٌ تُعَظِّمُهُ الْيَهُودُ وَالنَّصَارَى فَقَالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ: ((فَإِذَا كَانَ الْعَامُ الْمُقْبِلُ إِنْ شَاءَ اللَّهُ صُمْنَا الْيَوْمَ التَّاسِعَ)) قَالَ فَلَمْ يَأْتِ الْعَامُ الْمُقْبِلُ حَتَّى تُوُفِّيَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ “. رواه مسلم

Imepokelewa na Ibn ‘Abbaas (Radhiya Allaahu ‘anhuma) kasema “Alipofunga Mtume (Swalla Allahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) siku ya ‘Aashuraa na akaamrisha ifungwe wakasema: Ewe Mtume wa Allaah, hii ni siku wanayoitukuza Mayahudi na Manaswara. Akasema Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam): ((Ikifika mwakani In shaa Allaah tutafunga siku ya tisa pia)). Akasema (Ibn ‘Abbaas) haukufika mwaka uliofuata ila alifariki Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) [Muslim]

Kwa hiyo ni bora kufunga siku ya tisa na kumi Muharram, na kama mtu hakujaaliwa kufunga siku ya tisa na kumi, basi afunge siku ya kumi peke yake ili asikose kupata fadhila ya siku hiyo.

Kwa vile siku hii ni siku Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) Aliyomnusuru Muusa (‘Alayhis-Salaam) na Wana wa Israaiyli, na sisi pia tutakaofunga tuwe na tegemeo kuwa nasi Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) Atatunusuru pia kutokana maadui wetu na mabaya kama Alivyotuahidi In shaa Allaah

((إِنَّا لَنَنصُرُ رُسُلَنَا وَالَّذِينَ آمَنُوا فِي الْحَيَاةِ الدُّنْيَا وَيَوْمَ يَقُومُ الْأَشْهَادُ))

((Bila ya shaka Sisi Tunawanasuru Mitume Yetu na wale walioamini katika maisha ya dunia ya siku watakaposimama mashahidi (kushuhudia amali za viumbe)) [Ghaafir 40: 51]

Juu ya kwamba fadhila ya kufunga Swawm ni ibada Aipendayo kabisa Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala)kama ilivyo katika Hadiyth mbali mbali, vilevile funga hii itatusafisha na madhambi ya mwaka mzima,

قال النبي صلى الله عليه وسلم : (( صيام يوم عاشوراء ، إني أحتسب على الله أن يكفر السنة التي قبله)) رواه مسلم

Kasema Mtume (Swalla Allahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam): ((Funga ya siku ya ‘Aashuraa, nataraji kutoka kwa Allaah Ayafute madhambi ya mwaka wa nyuma)) [Muslim]

Ndugu Waislam, hii ni fursa kubwa ya kujisafisha na dhambi na kuzidisha taqwa (ucha Mungu) ili kujibebea zawadi nyingi twende nazo Akhera kwa vile hatujui amali njema zipi zitakazokubaliwa na Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) na hatujijui kama tutakuwa na umri wa kuchuma zaidi.

Bid’ah Katika Siku Ya ‘Aashuraa

Katika mwezi huu wa Muharram, tarehe kumi ambayo ni siku ya ‘Ashuraa, tunawaona baadhi ya watu wakifanya maandamano na kuvaa nguo nyeusi wakidai ni nguo za msiba, na huku wakijipiga vifua kwa ngumi na wengine kujikata kwa visu, kujipiga kwa minyororo na damu kuwamwagika, wakidai wanaomboleza kifo cha mjukuu wa Mtume, Al-Husayn (Allaah Amrehemu). Matendo hayo ni mambo ambayo hayakubaliki kisheria na wanachuoni wote wa Kiislam wanapinga na kulaani anayefanya hivyo kwani ni kinyume na mafundisho ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam).

Amesema Ibn Taymiyyah (Allaah Amrehemu):

“Bid’ah zinazofanyika katika siku hii ni kuwa baadhi ya watu wameitenga na kuifanya kuwa ni siku ya huzuni kwa kuuliwa Al-Husayn (Radhiya Allaahu ‘anhu) na kujipiga, kulia wakati Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) aliharamishakama ilivyo katika Hadiyth hii sahihi:

عن عبد الله بن مسعود رضي الله عنه قال : قال النبي صلى الله عليه وسلم: ((ليس منا من لطم الخدود وشق الجيوب ودعا بدعوى الجاهلية)) البخاري .

Imetoka kwa Ibn Mas’uud (Radhiya Allaahu ‘anhu) amesema: Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema ((Sio miongoni mwetu atakayejipiga mashavuni na kuchanachana nguo na kupiga mayowe ya kijahiliya)) [Al-Bukhaariy]

Na haitoshi hayo wayafanyao, bali wanatukana na kuwalaani Maswahaba wa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) katika siku hiyo.”

Ibn Rajab amesema:

“Wanayoyafanya Ma-Rafidhah (Mashia) katika siku hii kuwa ni siku ya huzuni kwa ajili ya kuuliwa Al-Husayn (Radhiya Allaahu ‘anhu) ni amali ambazo anazopoteza mtu katika uhai wake akadhani kuwa wanafanya amali njema, wala hakuamrisha Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) kufanya siku za misiba na vifo vya Mitume kuwa ni siku za huzuni, sasa vipi iwe siku ya huzuni kwa wasio Mitume?”

Tunamuomba Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) Atujaalie katika wale ambao husikiliza kauli wakafuata zile zilizo njema. Aamiyn.

79 Comments
 1. Xucykv says

  order levofloxacin generic levaquin usa

 2. Aknjzc says

  avodart uk avodart oral buy zofran

 3. Tqkyjo says

  buy spironolactone buy propecia online order generic diflucan 100mg

 4. Zedmga says

  ampicillin 250mg price bactrim for sale buy erythromycin 500mg generic

 5. Hhrwme says

  sildenafil 100mg brand oral nolvadex 10mg brand methocarbamol

 6. Nvmgev says

  buy suhagra sale purchase estrace pill oral estrace 1mg

 7. Uoemfa says

  lamotrigine 50mg pill buy minipress 1mg online tretinoin gel for sale

 8. Rkstdu says

  order tadalis 20mg for sale avanafil 200mg ca order voltaren 50mg without prescription

 9. Qxdibi says

  isotretinoin 40mg usa generic isotretinoin 40mg zithromax online buy

 10. Rmvuoz says

  buy indomethacin online cheap order cefixime 100mg order trimox online cheap

 11. Vxlmvh says

  order generic tadalafil 5mg Buy viagra internet viagra 50mg pills for men

 12. Afvall says

  anastrozole online Generic viagra in canada buy sildenafil generic

 13. Veccgj says

  prednisone 10mg ca purchase deltasone sale cheap viagra sale

 14. Uxouly says

  cialis 10mg fГјr frauen cialis 10mg kaufen ohne rezept sildenafil kaufen

 15. Sssqwm says

  order modafinil 200mg for sale purchase acetazolamide diamox pills

 16. Uhttco says

  buy doxycycline 100mg buy furosemide 40mg pill lasix 40mg without prescription

 17. Okvsku says

  order ramipril pills order altace 10mg order astelin 10ml generic

 18. Roruai says

  clonidine 0.1 mg brand antivert generic buy tiotropium bromide 9 mcg for sale

 19. Qwcwws says

  oral buspar phenytoin 100 mg usa oxybutynin 2.5mg for sale

 20. Aaposx says

  terazosin 1mg us actos 15mg generic buy sulfasalazine 500 mg online

 21. Wviuud says

  order olmesartan order generic olmesartan 20mg diamox 250 mg generic

 22. Suspfv says

  prograf 1mg generic buy prograf pills ursodiol ca

 23. Omzurs says

  isosorbide 40mg usa buy imuran 50mg pills buy micardis 80mg generic

 24. Zqbtis says

  bupropion medication order seroquel 50mg pills seroquel 50mg pills

 25. Hqfiof says

  cheap molnupiravir order naproxen online cheap order generic prevacid 30mg

 26. Rgtcsg says

  buy sertraline cheap sildenafil 100mg viagra 100mg cheap

 27. Kfjmso says

  order salbutamol sale buy imuran sale oral sildenafil

 28. Onnuvi says

  cialis in usa cialis 20mg generic rx pharmacy online viagra

 29. Xqpohp says

  cialis 10mg drug order tadalafil without prescription buy symmetrel online cheap

 30. Wgeylj says

  revia price letrozole uk brand aripiprazole 30mg

 31. Tnfrka says

  order avlosulfon for sale order dapsone 100 mg for sale aceon 8mg ca

 32. Azzzkm says

  medroxyprogesterone for sale order periactin 4mg online buy periactin generic

 33. Xxgvzf says

  provigil 200mg pill order provigil 100mg generic ivermectin for sale online

 34. Yjfwhx says

  generic piracetam 800 mg sildenafil pills 150mg sildenafil order online

 35. Fkuqfu says

  zithromax 250mg drug prednisolone tablet buy neurontin 100mg

 36. Lgerdm says

  buy tadalafil 10mg sale cialis 40mg sale buy sildenafil online

 37. Lgtfvx says

  order generic tadalafil buy anafranil 25mg pill anafranil 25mg usa

 38. Bdcufp says

  aralen drug chloroquine buy online order olumiant 2mg generic

 39. Grtpjn says

  brand itraconazole 100 mg prometrium 200mg without prescription tinidazole 300mg tablet

 40. Athcij says

  order metformin 1000mg pill glucophage 500mg canada order tadalafil 10mg sale

 41. Oohdho says

  zyprexa for sale online zyprexa drug valsartan 80mg canada

 42. Prusuc says

  amlodipine 10mg oral viagra 50mg tablet tadalafil otc

 43. Epvdwt says

  cheap sildenafil pill buy lisinopril 5mg pill lisinopril pills

 44. Hhcaoh says

  buy linezolid online linezolid oral online slot machines real money

 45. Ykmqmb says

  purchase prilosec generic pay for assignments australia play casino games for cash

 46. Uqeycj says

  buy metoprolol generic lopressor cheap buy generic levitra 10mg

 47. Iavift says

  order clomiphene 100mg pill albuterol generic free slot play

 48. Ptvorg says

  dapoxetine over the counter order cytotec 200mcg online cheap buy synthroid 150mcg pill

 49. Iozxdw says

  cheap cialis pills sildenafil 50mg tablet order sildenafil 50mg without prescription

 50. CharlesUnofs says

  canadian pharmacy phone number https://canadianpharmacy.icu/# canadian pharmacy viagra 50 mg

 51. Afvlsh says

  xenical 120mg brand xenical 60mg sale acyclovir 400mg oral

 52. Ivrwwf says

  buy cialis 20mg sale inderal for sale buy generic plavix 150mg

 53. Devufo says

  buy allopurinol 300mg generic order rosuvastatin generic purchase ezetimibe online cheap

 54. Lbzagx says

  purchase methotrexate online cheap order coumadin 5mg generic buy metoclopramide 20mg sale

 55. Kgcria says

  order motilium online cheap order cyclobenzaprine 15mg online buy flexeril 15mg pills

 56. Jlkzec says

  buy cozaar 50mg without prescription oral esomeprazole topamax 100mg brand

 57. Vbddmu says

  order lioresal sale cost toradol brand toradol 10mg

 58. JohnnieVoB says

  dating direct a free dating site

 59. Lxkvoj says

  purchase sumatriptan without prescription levofloxacin price purchase avodart online

 60. DavidTeenI says
 61. MartinUseve says

  https://datingonline1st.shop/# dating sites without registering

 62. Vylzfy says

  buy colchicine 0.5mg without prescription play great poker online online roulette real money

 63. FrankThomo says

  over the counter health and wellness products best over the counter nausea medicine

 64. RonaldHep says

  over the counter oral thrush treatment over the counter anti inflammatories

 65. RonaldHep says

  over the counter anxiety meds over the counter diuretic

 66. Ylanvr says

  gambling addiction free casino games real money poker online

 67. RonaldHep says

  best appetite suppressant over the counter antacids over-the-counter

 68. Davidseade says

  https://drugsoverthecounter.shop/# best over the counter acne treatment

 69. FrankThomo says

  over the counter essentials united healthcare viagra over the counter

 70. Jxbjrh says

  buy cialis 5mg pill acillin cheap cipro 500mg generic

 71. Davidseade says

  https://drugsoverthecounter.shop/# nausea medication over the counter

 72. RonaldHep says

  over the counter erectile pills at walgreens over the counter eye drops for pink eye

 73. FrankThomo says

  strongest over the counter painkiller wellcare over the counter ordering

 74. Uznxxs says

  metronidazole 400mg generic order augmentin 375mg sale generic sulfamethoxazole

 75. Skumwp says

  fluconazole cost sildenafil cheap sildenafil 50mg pill

 76. RichardRiT says

  best over the counter toenail fungus treatment over the counter essentials united healthcare

 77. Pnaevj says

  viagra 50mg pills cheap tadalafil 5mg order cialis 10mg without prescription

 78. RichardRiT says

  over the counter adderall where can i buy viagra over the counter

 79. Yfniur says

  roulette casino quick hits free online slots order tadalafil 5mg for sale

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.