Hizb ut Tahrir Yazindua Kampeni ya Kiulimwengu Kwa Anuani: “Enyi Waislamu Isimamisheni”

بسم الله الرحمن الرحيم

Kuweni pamoja na wanaofanya kazi ya Kusimamisha Khilafah Rashida kwa njia ya Utume, Huenda Mwenyezi Mungu (swt) akaiondoa kwayo huzuni hii kutoka kwa wengine kama alivyoiondoa kwa mfano wake huzuni kutoka kwa wabora wa mwanzo.
Rajab 1442 H – 2021 M

Kusambaza ni Kuunusuru Uislamu!