Kongamano maalum la kukaribisha ramadhani
Hizb ut Tahrir Tanzania imetayarisha KONGAMANO MAALUM la aina yake la Kukaribisha Mwezi mtukufu wa RAMADHANI mnamo siku ya Jumamosi tarehe 20 Mei 2017 /sawa na 23 Sha’aban 1438 Hijri.
KONGAMANO hilo litafanyika Hoteli ya Mayfair Plaza, Mikocheni( Banquet Hall) kuanzia saa 3.00 asubuhi mpaka 6.00 mchana.
Licha ya kuwa KONGAMANO hilo kubeba idadi maalumu ya waalikwa, bado tunapenda kuwakumbusha Waislamu na wasiokuwa Waislamu walifuatilie KONGAMANO hilo litarushwa “live” kupitia facebook “hizb ut Tahrir Tanzania (http://www.facebook.com/HtTanzaniaa) na tovuti yetu ya “www.hizb.or.tz”
Mada zitakazowasilishwa:
Uislamu mfumo wa Ukombozi kwa Wanadamu
Failure of Capitalism- (Mhadhiri kutoka Holland)
Uislamu na Njia ya Mabadiliko
Masoud Msellem
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi
Hizb ut-Tahrir Tanzania