Sheikh Mussa Kileo Amtembelea Aliyekuwa Mahabusu Wa Uamsho Dar Es Salaam

بسم الله الرحمن الرحيم

Jana Jumapili 20 Juni Mwenyekiti wa Kamati ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir Tanzania alimtembelea mmoja aliyekuwa mahabusu wa Uamsho Ust. Abubakar Mgodo katika maeneo ya Ukonga, Bomba mbili, Dar es Salaam.
Ust. Abubakar Mgodo alikuwa miongoni mwa watuhumiwa wa ugaidi aliyeshikiliwa kwa miaka 8 katika kesi ya Uamsho na ni miongoni mwa walioachiwa huru karibuni.
Allah Taala Amlipe Ustadh Mgodo kwa subra yake, Amrejeshee katika hali ya maisha ya kikawaida na kuwatia mkononi wote walioshiriki kumdhalilisha.
Amiin

Kusambaza ni Kuunusuru Uislamu!