Uvamizi wa Kizayuni

0

#Palestina-majeshi haramu ya uvamizi ya kizayuni yamempiga vibao muandamanaji wa kipalestina baada ya kuchana chana hijabu yake wakati akiwa anaandamana kupinga uvunjaji wa nyumba ya jamii ya Khan Al-Ahmar tukio lillotokea 5 July 2018 katika eneo linaloshikiliwa la Jerusalem.
Ni kwa #Khilafah ya uongofu pekee , iliyosimamishwa kupitia njia ya Utume , hivi karibuni itarejesha na kulinda heshima ya waislamu na wasiokua waislamu na ndio pekee itaondoa mzingiro huu haramu na unyanyasaji wa wanawake wa kipalistina na kulinda ardhi zote za waislamu, inshaa Allah

Video hapa chini inaonyesha tukio hilo...

#UislamNiHadharaMbadala

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.