Viongozi wa Pakistan Wamelaani Vikali Ushirikiano na Marekani, Wakati Huo Huo Kwa Siri Wanafanya Juhudi (Kazi) za Kulitoa Jeshi la Marekani Katika Aibu kubwa (Kudhalilika).

0

Japokua walisikika wakipiga kelele kuhusu vichekesho vya Trump kuhusu kuakhirisha msaada kwa jeshi, lakini viongozi wa pakistani wanafanya kazi kwa siri na utawala wa Trump ili kuokoa jeshi la Marekani katika aibu ya kushindwa. Katibu wa Ulinzi wa Marekani, James mattis, amekiri mahusiano yasioweza kuharibika na uhusiano wa kirafiki na viongozi wa Kipakistani. Mnamo tarehe 5 /01/2018, katika mkutano na Waandishi wa habari akiwa Pentagon,alipoulizwa kuhusu malalamiko ya Waziri wa mambo ya nje ya Pakistan kwamba hakuna tena mashirikiano (Muungano Maalum) kati ya Marekani na Pakistani, Ndipo James Mattis akaweka wazi kwamba mahusiano ya kisiri siri kati ya majeshi hayo mawili yanaendelea kama kawaida kwa ajili ya kufanikisha mahitajio ya Marekani.

Alisema,Jenerali Joseph Votel alizungumza kwa njia ya simu na Jenerali Bajwa, akamwambia “Tutaendelea na mashirikiano yetu katika hili”. Na pindi alipoulizwa ikiwa atakatisha uongezaji wa vikosi vya Marekani na kukimbia Pakistan,Mattis kwa kujiamini akasema,“sijafiiria hilo,haiwezikani.”

Mahusiano haya ya siri kati ya Utawala wa Trump na viongozi wa Pakistani,ni kwa kutumia vikosi vyote na kuwashawishi Taliban kurejea katika meza ya mashauriano (majadiliano). Kwa hakika, utawala wa Trump umekwenda tofauti na mkataba wa ulinzi ambao utaruhusu majeshi yake kubakia Afghanistan milele, kuliko kulazimishwa kujiondoa kama ilivyotokea kwa dola ya kiingereza na Umoja wa Sovitet wa Urusi kabla yake.

O Enyi waislamu wa Pakistani!

Viongozi wa Pakistani wanatudanganya kwa kujifanya wanailaani Marekani, wakati huo huo wanaisaidia vikosi vya Marekani katika muanguko mzito.

Wanazungumza ili tu kupoza hasira zetu, wakati huo huo kwa makini kabisa wameshaandaa mipango mizuri ya kuokoa vikosi vya Marekani, wanatudanganya kwa kutuchezea ” mchezo wenye sura mbili” hivyo kuendelea kudumisha uhai wa vikosi vinyakuzi vya Marekani. Badala ya wao kukata utisho huo wenye kuendelea ndio kimya kimya wanaendelea kusaidia bila kujali uharibifu wote uliofanywa ndani ya Pakistan kama matokeo ya sumu ya Marekani ambayo ipo hivi sasa na itaendelea baadae.

Viongozi hawa wajinga wametusaliti kwa adui yetu anaehitaji kutoka kwetu, anaechukua kutoka kwetu, anaetusababishia matatizo na kisha anatudhalilisha. Viongoz wa Pakistan wanatangaza kulaani ushirikiano na Marekani ili kutuhadaa, hata hivyo Allah alionya juu hilo,

( ﻳﺨَﺎﺩِﻋُﻮﻥَ ﺍﻟﻠَّﻪَ ﻭَﺍﻟَّﺬِﻳﻦَ ﺁﻣَﻨُﻮﺍ ﻭَﻣَﺎ ﻳَﺨْﺪَﻋُﻮﻥَ ﺇِﻟَّﺎ ﺃَﻧﻔُﺴَ

ُﻢْ ﻭَﻣَﺎ ﻳَﺸْﻌُﺮُﻭﻥَ )

“Wanadhania wanamhadaa Allah na wale walioamini, bali hakuna wanaemhadaa ila wao wenyewe na hawajui hilo”

[Surah al-Baqarah 2:9].

Kwa siri wanashirikiana na adui dhidi yetu, ili wapate manufaa, hata hivyo Allah alionya:

( ﺳَﻴُﺼِﻴﺐُ ﺍﻟَّﺬِﻳﻦَ ﺃَﺟْﺮَﻣُﻮﺍ ﺻَﻐَﺎﺭٌ ﻋِﻨْﺪَ ﺍﻟﻠَّﻪِ ﻭَﻋَﺬَﺍﺏٌ ﺷَﺪِﻳﺪٌ ﺑِﻤَﺎ ﻛَﺎﻧُﻮﺍ ﻳَﻤْﻜُﺮُﻭﻥَ )

“Na itawafika waovu hao adhabu kali inayotoka kwa Allah na niadhabu kali kwa sababu ya hila walizokua wakifanya”

wana shikamana vizuri na miungano ya majeshi yao na wale maadui ambao wanapiga vita dini yetu, wanawapiga waislamu dunia nzima na wanawasaidia wanaopigana nao, hata hivyo Allah (swt) alisema,

( ﺇِﻧَّﻤَﺎ ﻳَﻨْﻬَﺎﻛُﻢْ ﺍﻟﻠَّﻪُ ﻋَﻦْ ﺍﻟَّﺬِﻳﻦَ ﻗَﺎﺗَﻠُﻮﻛُﻢْ ﻓِﻲ ﺍﻟﺪِّﻳﻦِ ﻭَﺃَﺧْﺮَﺟُﻮﻛُﻢْ ﻣِﻦْ ﺩِﻳَﺎﺭِﻛُﻢْ ﻭَﻇَﺎﻫَﺮُﻭﺍ ﻋَﻠَﻰ ﺇِﺧْﺮَﺍﺟِﻜُﻢْ ﺃَﻥْ ﺗَﻮَﻟَّﻮْﻫُﻢْ ﻭَﻣَﻦْ ﻳَﺘَﻮَﻟَّﻬُﻢْ ﻓَﺄُﻭْﻟَﺌِﻚَ ﻫُﻢْ ﺍﻟﻈَّﺎﻟِﻤُﻮﻥَ )

“Na Allah anakukatazeni kuungana na wale wanaopiga vita katika dini,na kukufukuzeni katika nchi zenu, na wanasaidia katika kufukuzwa kwenu amekukatazeni kuwafanya marifiki na wawafanyao marafiki basi hao ndo madhalim”

[Surah al-Mumtahina 60:9].

Na wanadai kwamba watatuletea amani na utu, na wakati huo urafiki na adui ndio njia ya uharibifu na umasikini.

Allah (swt) alionya:

( ﻣَﺜَﻞُ ﺍﻟَّﺬِﻳﻦَ ﺍﺗَّﺨَﺬُﻭﺍ ﻣِﻦ ﺩُﻭﻥِ ﺍﻟﻠَّﻪِ ﺃَﻭْﻟِﻴَﺎﺀَ ﻛَﻤَﺜَﻞِ ﺍﻟْﻌَﻨﻜَﺒُﻮﺕِ ﺍﺗَّﺨَﺬَﺕْ ﺑَﻴْﺘًﺎ ﻭَﺇِﻥَّ ﺃَﻭْﻫَﻦَ ﺍﻟْﺒُﻴُﻮﺕِ ﻟَﺒَﻴْﺖُ ﺍﻟْﻌَﻨﻜَﺒُﻮﺕِ ﻟَﻮْ ﻛَﺎﻧُﻮﺍ ﻳَﻌْﻠَﻤُﻮﻥَ )

“Mfano wa wale waliofanya ushirika na asiekua Allah ni kama  mfano wa buibui ajitandae nyumba, na haimfadhili kwa chochote,bila shaka nyumba iliyodhaifu kuliko zote ni nyumba ya buibui kama wangelijua”

[Surah ya ankabut 29: 41].

O enyi waislamu wa Pakistan!

Hebu tuachane na viongozi hawa kama vile walivyoachana na sisi na tufanye kazi ya kuwaondosha na vijana wa Hizb ut Tahrir.

Hebu tufanyeni kazi ya kuwaondoa na badala yake kuweka khilafa rashidah,itayotawala kwa uislamu, itakayotupa utujufu wa duniani na akhera. Kwahakika, kitakachotupa nguvu waislamu ni Khilafah katika njia ya utume. Hiyo pekee ndio itakayokata utepe mdogo ambao marekani inaning’inia kwayo. Khilafah pekee ndio itakayofunga ubalozi wa marekani, kuondoa ujinga wa majeshi ya marekani na misaada ya kiuchumi,ikiwa ni pamoja na kuondoa vikosi vyote na italazimisha kuondoa “Raymond Davis”majeshi binafsi na ujasusi wake. Khilafa pekee ndio itakusanya rasilimali zote kwaajili ya uhudumu wa uislamu na waislamu. Itafanya kazi kuziunga nchi za waislamu kuwa dola moja kubwa duniani. Allah (swt)alisema

( ﺍﻟَّﺬِﻳﻦَ ﻳَﺘَّﺨِﺬُﻭﻥَ ﺍﻟْﻜَﺎﻓِﺮِﻳﻦَ ﺃَﻭْﻟِﻴَﺎﺀَ ﻣِﻦ ﺩُﻭﻥِ ﺍﻟْﻤُﺆْﻣِﻨِﻴﻦَ ﺃَﻳَﺒْﺘَﻐُﻮﻥَ ﻋِﻨﺪَﻫُﻢُ ﺍﻟْﻌِﺰَّﺓَ ﻓَﺈِﻥَّ ﺍﻟْﻌِﺰَّﺓَ ﻟِﻠَّﻪِ ﺟَﻤِﻴﻌًﺎ

“Wale wanaofanya makafiri marafiki badala ya waislamu, jeewanataka wapate utukufu kwao? Basi utukufu wote ni wa Allah

[Surah an-Nisa’a 4:139].

O enyi vikosi vya jeshi la Pakistani!

Viongozi hawa wasaliti wamevuka mipaka na wanatuhadaa na maadui zetu kuvuka mipaka zaidi. Wamewasaliti kwa adui, wanatumia bure damu zenu ili kujenga ambacho hawataweza kukifikia.

Wanafanya hivyo hata kulaani uharibifu uliofanywa na washirika wao. Wanafanya hivyo hata mwisho kukiri kwamba vita hivi sio vyetu ni dhidi ya Amerika, wanafanya hivyo, ingawa wanajua adui ni dhaifu , kisha bado wanahamasisha majeshi ya Kiislamu ya kikabila hivyo hayasimami pamoja na wewe. Imetosha!

Nguvu ya mikono yake,,ambayo Allah amewapa ni njia pekee ya kuondosha matatizo zaidi Pakisan, kwasafi na uzuri. Kinachohitajika toka kwenu ni mipango makini kwa ajili ya Allah, itakayobebwa na viongozi wema, kwa ajili ya kuchukua mamlaka na kuyatoa kwa umakini na uangalizi wa Hizb ut tahrir, hivyo itasimamisha Khilafah katika njia ya Utume.

Shikamaneni na Hizb ut Tahrir hivi sasa. Ilikuwakumbuka ndugu ambao wameendelea katika kuujenga uislam kama dola yenye utawala Madina. Kumbuka vizur,ndugu zetu katika Uislamu, ambao walitoa nusra kwa Mtume s.a.w,mfano Saad bin Muadh (r.a.) pindi Saad alipokufa Mama yake alienda haraka kwa Mtume  na kumwambia:

« ﻟِﻴَﺮْﻗَﺄْ – ﻟﻴﻨﻘﻄﻊ – ﺩَﻣْﻌُﻚِ ﻭَﻳَﺬْﻫَﺐْ ﺣُﺰْﻧُﻚِ ﻟِﺄَﻥَّ ﺍﺑْﻨَﻚِ ﺃَﻭَّﻝُ ﻣَﻦْ ﺿَﺤِﻚَ ﺍﻟﻠَّﻪُ ﺇِﻟَﻴْﻪِ ﻭَﺍﻫْﺘَﺰَّ ﻟَﻪُ ﺍﻟْﻌَﺮْﺵُ »

” Machozi yako yatalipwa na huzuni yako itafidiwa ikiwa wajua kwamba mwanao ni mtu wa kwanza kukunjuliwa sura na Allah na Ufalme wake””

[At-Tabarani]

Muda umekwisha sasa, O enyi ndugu ? Itikieni mwito huu !

23 Rabii al-Akhir 1439 AH Hizb ut Tahrir/ Wilayah Pakistan

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.